KAMBALE AGRO BUSINESS AGENCY
Kampuni bora ya kukuza viumbe majini iliyosajiliwa kisheria.
Makadirio ya Gharama ya kukuza kambare 1000 wawe 1kg kwa miezi sita.
A. MANUNUZI YA VIFARANGA
Kifaranga ni 300/=
=K1=300tsh x 1000
=300, 000/=
Vifaranga 1000 ni =300, 000/=
B. CHAKULA KWA MIEZI 6
Makadirio ya chini samaki 1 kwa miezi 6 anatakiwa ale kilo 1 kufikisha 1 kg ya uzito wake.
Kambale 1000 = 1000kg Chakula
Mfuko 1. =20kg
Mfuko wa 20 kg =64000/=(made in Holland) 1kg@ 3200/=
Mfuko wa 50 kg =50000/=(made in Tanzania)1kg@2000/=
Kama kwa miezi 6 hutumia 1000kg chakula x 3200/= 3 ,200, 000/=
=3, 200, 000/=
NB :samaki anaifika 1kg au zaidi kwa miezi 6 kama atatumia Chakula made in Holland 1kh@3200/= .
C . MATUMIZI MENGINE .
Maji . haitabiliki ila ni bei rahis
Mrishaji anaweza kuwa ww, kama umeajiri ni laki 300, 000/=kwa 6 miezi.
D. MAUZO
kg 1 ya kambale ni 6000 /=jumla na 8000 rejareja.
1000kg x 6000/= 6, 000, 000/=rejareja. 8, 000, 000/=
E. FAIDA
A+B+C+D=300, 000+3, 200, 000+300, 000=3, 800, 000
6, 000, 000-3, 800, 00= 2, 200, 000
Faida ni 2, 200, 000/=jumla . 4200000/=rejareja.
NB:samaki kufikisha 1kg kwa miezi 6 ni makadilio ya chini endapo utatumia made in Holland upo ushuhuda wa Samaki kufikisha kg 2 kwa miezi 6.
TUNAUZA VIFARANGA VYA SAMAKI
KAMBALE 300 tsh
SATO 350tsh
TUNAUZA CHAKULA CHA SAMAKI
TUNACHIMBA MABWAWA
TUNATOA USHAURI WA UFUGAJI SAMAKI
TUNAUZA SAMAKI NA KUNUNUA SAMAKI
OFISI.
BAGAMOYO. MJI MPYA
0715926398 WHATUP
0718593224 PIGA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni