Ijumaa, 28 Desemba 2018

GHARAMA YA BWAWA LA SAMAKI KWA TOFARI
Ukubwa:10x10m
Kuchimba:500, 000/=
Tofari:700=700, 000/=tofari za kulaza
Kokoto:ndoo 30
Cement:25x14000/=
Changalawe 40000/=
Ujenzi:500, 000/=
Bomba :100, 000/=
Mavuno tani 3 ndani ya miezi 6 bei ya jumla kg 1 ni 5000/
GHARAMA ZA UENDESHAJI.
Vifaranga :@300/=
Vifaranga 3000 kambale.
 CHAKULA KWA MIEZI 6
Makadirio ya chini samaki 1 kwa miezi 6 anatakiwa ale kilo 1 kufikisha 1 kg ya uzito wake.
Kambale 1000  = 1000kg Chakula
Mfuko     1.         =20kg
Mfuko wa 20 kg =64000/=(made in Holland) 1kg@ 3200/=
Mfuko wa 50 kg =50000/=(made in Tanzania)1kg@2000/=
Kama kwa miezi 6 hutumia 1000kg chakula x 3200/= 3 ,200, 000/=
=3, 200, 000/=
©Pia tunakufundisha mfumo wa kutengeneza funza kwa mbadara wa chakula.
NB :samaki anaifika 1kg  au zaidi kwa miezi 6 kama atatumia Chakula made in Holland 1kh@3200/= .
NB. GHARAMA HIZI ZINAWEZA KUTOFAUTIANA KUTOKANA NA ENEO
TUNAUZA VIFARANGA VYA SAMAKI
KAMBALE 300 tsh
SATO  350tsh
TUNAUZA CHAKULA CHA SAMAKI
TUNACHIMBA MABWAWA
TUNATOA USHAURI WA UFUGAJI SAMAKI
TUNAUZA SAMAKI NA KUNUNUA SAMAKI 
OFISI. 
BAGAMOYO. MJI MPYA
0715926398 WHATUP
0718593224 PIGA 

Maoni 9 :

  1. eneo langu ni la mchanga ,pia siku za kiangazi jua ni kali mno
    jee linafaa kwa ufugaji wa samaki?

    JibuFuta
  2. nitawatafuta mje mchunguze eneo langu kama linafaaa kwa aina gani ya bwawa

    JibuFuta
  3. Maeneo ya mjini yanaruhusiwa kufuga?

    JibuFuta
  4. Mambo? nahitaji bwawa la ukubwa wa mita 20 kwa 20, ni kiasi gani? niko Dodoma 0763 089 068

    JibuFuta
  5. no zangu hizi hapa 0785064803 niunge wasap

    JibuFuta
  6. Mimi ni mfungaji wa samaki Aina ya sato je kunatatizo lolote kuweka mbolea ya kinyesi Cha ng'ombe naomba ushauri

    JibuFuta
  7. Naitwa Adrian no.0857731531 Mimi ni mfungaji wa samaki je,Kuna tatizo lolote kipindi unatayarisha bwawa la samaki kuweka mbolea naomba msaada wa maelezo

    JibuFuta