Jumatatu, 31 Desemba 2018

MAANDALIZI YA BWAWA LA SAMAKI KABLA YA KUWAWEKA SAMAKI KWENYE BWAWA.
Maandalizi ya bwawa la samaki ni hatua muhimu sana katika mafanikio makubwa ya ufugaji samaki,bwawa la samaki likiandaliwa ipasavyo na kufuata utaratibu mzuri hua ni chanzo cha mafanikio katika ufugaji samaki,lakini wafugaji wengi wasamaki huanguka na kupata hasara kubwa na mafanikio madogo ya ufugaji samaki sababu ya kukosa elimu ya kuandaa bwawa la samaki vizuri kama inavyotakiwa.zifuatazo ni hatua muhimu za kuandaa bwawa la samaki kabla ya kuwaweka ndani ya bwawa.
Tengeneza bwawa lako katika eneo lisilokua na mteremko mkali,eneo lenye maji yakutosha,eneo lenye udongo mfinyanzi na eneo lililo mbali na uchafuzi wa majitaka.
Jaza maji safi na salama ndani ya bwawa,usijaribu kuweka maji yenye chlorine ndani ya bwawa.
Weka mbolea ya kuku au ya mfugo wowote kwenye bwawa,weka kilo tatu kwa kila mita mia moja za eneo la bwawa lako (5kg/100m2)
Baada ya kuweka mbolea subiri wiki mbili kabla ya kuweka samaki ndani ya bwawa ili chakula asilia cha samaki kuota ndani ya bwawa.(ukijani wa maji na vijidudu vidogo).
Weka samaki ndani ya bwawa kulingana na ukubwa wa bwawa,weka vifaranga watano hadi kumi wa kambare kwa kila mita moja za eneo la bwawa(5-10kambare/m2)
JINSI YA KUWEKA MBOLEA KWENYE BWAWA LA SAMAKI KWAAJILI YA KURUTUBISHA BWAWA.
Kurutubisha bwawa ni kuongeza mbolea asilia au ya kiwandani katika bwawa kwaajili ya kurutubisha bwawa na kuzalisha chakula asilia cha samaki ambacho nichanzo kizuri sana cha chakula kwa samaki,mfano wa chakula asilia ni kama vimajani vidogovidogo na wadudu wadogowadogo (phytoplankton na zooplankton).
4.1. MUDA AMBAO HAUHITAJIKI KUWEKA MBOLEA KATIKA BWAWA
Muda wa usiku
Wakati joto la maji ya bwawa limeshuka
Wakati wa baridi
Wakati wa mawingu pasipokuwa na mwanga wa jua
Wakati maji ya bwawa yana rangi ya kijani iliyo zidi.
Ukiweka mbolea pasipo kufuata utaratibu itapelekea kupungua kwa hewa ya oxygen ndani ya bwawa na kusababisha kufa kwa samaki, vilevile mbolea ikizidi husababisha maji kuchafuka na kuota kwa kukithiri kwa chakula cha samaki ambapo hufunika uso wa maji ya bwawa na kuzuia kuingia kwa hewa ya oxygen ndani ya bwawa la samaki.
4.2. MUDA SAHIHI WA KUWEKA MBOLEA KWEMYE BWAWA LA SAMAKI
Wakati mwanga wa jua umetoka
Wakati hakuna mawingu
Maji ya bwawa yakiwa yanajoto
Wakati maji hayana rangi ya kijani ya kutosha
4.3. KIWANGO SAHIHI CHA KUWEKA MBOLEA KATIKA BWAWA LA SAMAKI
Unaweza kutumia mbolea ya kuku,ng’ombe,farasi,nguruwe na mifungo yote au mbolea yeyote inayo tokana na wanyama au ukatumia mbolea za viwandani,ila mbolea ya kuku ni bora zaidi kuliko mbolea zote za mifugo.
Tumia kilo 2 hadi 3 za mbolea ya kuku kwa kila mita 100 za eneo la bwawa la samaki kwa kila wiki
Tumia kilo 8 hadi 10 za mbolea ya nguruwe kwa kila mita 100 za eneo la bwawa kwa kila wiki
Tumia kilo 10 hadi 15 za mbolea ya ng’ombe kwa kila mita 100 za eneo la bwawa la samaki kwa kila wiki
Au unaweza kutumia kilo 6 hadi 20 za mchanganyiko wa mbolea zote za mifugo kwa kila mita 100 za eneo la bwawa la samaki kwa kila wiki.
Tumia kilo 0.4 hadi 0.8 za mbolea ya nitrogen kwa kila mita 100 za eneo la bwawa la samaki
Tumia liko 0.1 hadi 0.2 za mbolea ya phosphorous kwa kila mita 100 za eneo la bwawa la samaki.
ONYO. Kuzidisha mbolea kwenye bwawa la samaki ni hatari sana katika maisha ya samaki ndani ya bwawa,hii ni sababu mbolea ikizidi kwenye bwawa husababisha kupungua kwa hewa ya oxygen ndani ya bwawa na husababisha kuota kwa algae nyingi ndani ya bwawa na maji kuchafuka na kusababisha samaki kufa na kutokukua vizuri kama inavyotakiwa,pia husabaisha mlipuko wa magojwa hatari kwa samaki.
4.4. JNSI YA KUWEKA MBOLEA KATKA BWAWA LA SAMAKI
Kuna njia mbalimbali za kuweka mbolea kwenye bwawa la samaki zifuatazo ni baadhi ya njia muhimu zinazotumika zaidi.
Tengeneza kiukuta kidogo kwenye kona ya bwawa la samaki kwa kutumia nguzo ndogondogo za miti,kisha weka mbolea ndani ya ukuta na kuhakikisha kuwa mbomea haipenyezi na kuingia au kusambaa ndani ya bwawa la samaki

Njia ya pili ya kuweka mbolea kwenye bwawa ,chuku gunia au mfuko wa salifeti au magunia ya kuhifadhia mahindi kisha jaza mbole ndani ya gunia baada ya kujaza funga vizuri na toboa vitundu vidogovidogo kila sehemu ya gunia kisha tumbukiza ndani ya bwawa na ulifunge na kamba ililisitembee ndani ya bwawa,
 
  

Ijumaa, 28 Desemba 2018


BWAWA LA NILON 6X6
BWAWA hili mara nyingi hutumika kama site yako ni kichanga au maji yanapotea
Uchimbaji ni laki 3 nilon ni 150000/=
Vifaranga ni 600 kambale1 @300=240000/=
Maji. Inategemea na location ya site yako
Chakula. 1samaki ale 1kg hadi kuvunwa akiwa na kg 2 ndani ya miezi 6
Chakula hicho kg 1=32000/= made in holland.
Made in Tanzania. 1kg =2000/= samaki anaweza fikia 1kg kwa miezi 6 hio ni kambale tu sato ni g250.
Homemade.  unaweza tengeneza chakula chako mwenyewe .Tunakufundisha
NB . Unashauriwa kutengeneza chakula mwenye pale tu samaki wako wakifikisha miez 3na wawe hawajadumaa. 
Mavuno
1samaki ndani ya miezi 6 ni sawa na 2 kg kama amelishwa chakula bora
Hivyo ni sawa na 1200 kg bei ya jumla ni 5000/=reja 8000/=
TUNAUZA VIFARANGA VYA SAMAKI
KAMBALE 300 tsh
SATO  350tsh
TUNAUZA CHAKULA CHA SAMAKI
TUNACHIMBA MABWAWA
TUNATOA USHAURI WA UFUGAJI SAMAKI
TUNAUZA SAMAKI NA KUNUNUA SAMAKI 
OFISI. 
BAGAMOYO. MJI MPYA
0715926398 WHATUP
0718593224 PIGA 


Tunakodisha bwawa la kufugia samaki
Kampuni ya KAMBALE AGRO BUSINESS AGENCY
  Inakodisha bwawa la 8x20M la zege
Utaweka kambale 3200
Chakula bora kutoka holland kipo kg 20 =64elf utakitumia kwa miez 3 then utashauri chakula cha bei rahisi
Maji ni DAWASCO
Bwawa liko ndani ya fensi
Ulinzi na ulishaji ni uhakika
Lipo MAPINGA -BAGAMOYO
KODI NI LAKI 1 KWA MWEZI.

MAVUNO
Utavuna tani 3 na kg 200 kwa miezi 7 mpaka 9
Kg 1 bei ya jumla ni 6000tsh
Soko ni la uhakika .
Tunauza vifaranga
Kambale 300
Sato 350
Tunachimba mabwawa
Tunashauri ufugaji samaki
0718593224
0715926398whatup(BAGAMOYO)

KAMBALE AGRO BUSINESS AGENCY
Kampuni bora ya kukuza viumbe majini iliyosajiliwa kisheria.
Makadirio ya Gharama ya kukuza kambare 1000 wawe 1kg kwa miezi sita.
A. MANUNUZI YA VIFARANGA
Kifaranga ni 300/=
                               =K1=300tsh x 1000
                               =300, 000/=
Vifaranga 1000 ni =300, 000/=
B. CHAKULA KWA MIEZI 6
Makadirio ya chini samaki 1 kwa miezi 6 anatakiwa ale kilo 1 kufikisha 1 kg ya uzito wake.
Kambale 1000  = 1000kg Chakula
Mfuko     1.         =20kg
Mfuko wa 20 kg =64000/=(made in Holland) 1kg@ 3200/=
Mfuko wa 50 kg =50000/=(made in Tanzania)1kg@2000/=
Kama kwa miezi 6 hutumia 1000kg chakula x 3200/= 3 ,200, 000/=
=3, 200, 000/=
NB :samaki anaifika 1kg  au zaidi kwa miezi 6 kama atatumia Chakula made in Holland 1kh@3200/= .
C . MATUMIZI MENGINE . 
 Maji . haitabiliki ila ni bei rahis
Mrishaji anaweza  kuwa ww,  kama umeajiri ni laki 300, 000/=kwa 6 miezi.
D. MAUZO
kg 1 ya kambale ni 6000 /=jumla na 8000 rejareja.
1000kg x 6000/= 6, 000, 000/=rejareja. 8, 000, 000/=
E. FAIDA
A+B+C+D=300, 000+3, 200, 000+300, 000=3, 800, 000
6, 000, 000-3, 800, 00= 2, 200, 000
Faida ni 2, 200, 000/=jumla . 4200000/=rejareja.
NB:samaki kufikisha 1kg kwa miezi 6 ni makadilio ya chini endapo utatumia made in Holland upo ushuhuda wa Samaki kufikisha kg 2 kwa miezi 6. 

TUNAUZA VIFARANGA VYA SAMAKI
KAMBALE 300 tsh
SATO  350tsh
TUNAUZA CHAKULA CHA SAMAKI
TUNACHIMBA MABWAWA
TUNATOA USHAURI WA UFUGAJI SAMAKI
TUNAUZA SAMAKI NA KUNUNUA SAMAKI 
OFISI. 
BAGAMOYO. MJI MPYA
0715926398 WHATUP
0718593224 PIGA 

Tunauza samaki kambale

Mbichi

Kg =8000 *****Home derivary in Dar anafika akiwa hai


Aliyebanikwa
Kg=9000******Home derivary
NB pia tunauza samaki mbichi kg 8000 tukikubanikia ni 9000  ila hatokua na uzito sawa na mbichi itategea unataka akaushwe kwa kiasi gani akikaushwa kidogo(madafu)huwa na g 600 akikaushwa kabisa ni g 250

0715926398 whatup
0718593224 piga
GHARAMA YA BWAWA LA SAMAKI KWA TOFARI
Ukubwa:10x10m
Kuchimba:500, 000/=
Tofari:700=700, 000/=tofari za kulaza
Kokoto:ndoo 30
Cement:25x14000/=
Changalawe 40000/=
Ujenzi:500, 000/=
Bomba :100, 000/=
Mavuno tani 3 ndani ya miezi 6 bei ya jumla kg 1 ni 5000/
GHARAMA ZA UENDESHAJI.
Vifaranga :@300/=
Vifaranga 3000 kambale.
 CHAKULA KWA MIEZI 6
Makadirio ya chini samaki 1 kwa miezi 6 anatakiwa ale kilo 1 kufikisha 1 kg ya uzito wake.
Kambale 1000  = 1000kg Chakula
Mfuko     1.         =20kg
Mfuko wa 20 kg =64000/=(made in Holland) 1kg@ 3200/=
Mfuko wa 50 kg =50000/=(made in Tanzania)1kg@2000/=
Kama kwa miezi 6 hutumia 1000kg chakula x 3200/= 3 ,200, 000/=
=3, 200, 000/=
©Pia tunakufundisha mfumo wa kutengeneza funza kwa mbadara wa chakula.
NB :samaki anaifika 1kg  au zaidi kwa miezi 6 kama atatumia Chakula made in Holland 1kh@3200/= .
NB. GHARAMA HIZI ZINAWEZA KUTOFAUTIANA KUTOKANA NA ENEO
TUNAUZA VIFARANGA VYA SAMAKI
KAMBALE 300 tsh
SATO  350tsh
TUNAUZA CHAKULA CHA SAMAKI
TUNACHIMBA MABWAWA
TUNATOA USHAURI WA UFUGAJI SAMAKI
TUNAUZA SAMAKI NA KUNUNUA SAMAKI 
OFISI. 
BAGAMOYO. MJI MPYA
0715926398 WHATUP
0718593224 PIGA