KAMBALE AGRO BUSINESS AGENCY.
Tunauza vifaranga bora vya kambale
Bei :300/=
Aina:African catfish (clalius gariepinus)
SIFA YA VIFARANGA BORA:
1. size moja :Itakusaidia gharama ya ulishaji, kiasi cha ukuaji wao , kukadilio
faida ila ukiweka wenye size tofauti wengine watakuwa wamefikia kuvunwa wengine
Bado, wale waliokotayari wana nguvu zaidi hivyo watakula chakula cha wale wadogo hii
Itapelekea udumavu wa samaki. Pia size tofauti , wadogo sana wataliwa na wakubwa
2. Mbegu yet ni ya kichwa kidogo kiwiliwili kikubwa (TIARA) walaji wanapendelea samaki mwenye kiwiliwili kikubwa maana kina minofu kuliko bichwa maana bichwa huwa na uzani mkubwa , na
Halitumiki Ukichukua mbegu yenye vichwa kikubwa itakusumbua kipindi cha kuuza .Pia wenye bichwa hawafai kwenye kuchakata kama kubanika au kutengeneza fillets maana fillet ni minofu so kama ana bichwa itakuwa ni hasara kwa mchakataji na ndio maana wengine wana samaki ila hawawezi kuuza nje au soko lao lina sua sua.
3. Ni aina ya combat (mabakamabak) hii inasifa ya kukua haraka kuliko nyingine .
Pia tunahusika kwenye kuwasafirisha na kupandikiza bwawani. Na ushauri bure kwanzia siku ya kupanda hadi kuvuna na kukusaidia kukuuzia humu kwenye mitandao yetu ya kijamii.
4. Anayekufa kwenye kusafirisha , siku ya kupanda hadi siku ya 3 tunalazimika kufidia
KAMPUNI YA KAMBALE AGRO BUSINESS AGENCY.
OFISI. BAGAMOYO NJIA YA KIWANGWA , SHUKA KITUO CHA MJI MPYA.
0715926398 whatup
0718593224 piga sasa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni