Alhamisi, 28 Septemba 2017
KILIMO CHA MPUNGA WA UMWAGILIAJI WAMI DAKAWA
MOROGORO.
TUNAKUKODISHA,
KUKUSHAURI KITAARAM,
TUNAKUSIMAMIA KAMA UNASHUGHURI NYINGI,
NA KUKUPA SOKO LA UHAKIKA.
SHAMBA LINK AND MONITORING Ni kampuni ya kilimo biashara inayojihusisha na kukodisha mashamba ya umwagiliaji pamoja na vifaa vya kilimo, kushauri na kusimamia shughuri za shambani kwa wale wasio na muda.
Tuna mashamba Bagamoyo na mlandizi yaliyoko kandokando ya Mto ruvu mashamba haya yanafaa kwa kilimo cha bustani yaani kilimo cha nyanya, tikiti, bamia, vitunguu na mazao yote ya bustanini na nafaka kama Mpunga pamoja na mahindi. Aidha tuna mashamba wami dakawa kwa kilimo cha mpunga kwa scheme. Na lushoto Tanga kwa mazao yanayohitaji balidi .
Huu Mchanganuo umelenga kilimo cha Mpunga wami dakawa zifuatazo ni gharama zake kwa heka.
Gharama kwa heka.
Kukodi.................................. 300, 000/=
Kuplau..................................... 50, 000/=
Kuhalo......................................40, 000/=
Kuchabanga...........................60, 000/=
Kupanda................................100, 000/=
Mbolea 50kg...........................60,000/=
Kuweka mbolea.....................15, 000/=
Mbegu bora............................ 40, 000/=
Kulinda kitaru........................30, 000/=
Kupalilia x2.............................160, 000/=
Kuvuna (kombani).................. 50, 000/=
Kukoboa(satak)@1gunia.......... 3, 000/=
Madawa 1lita...............................50, 000/=
Kufukuza ndege ........................100, 000/=
MAVUNO.
Ukifuata ushauri bora wa kitaaramu unapata gunia za kilo 100 gunia 40. Ukikoboa kila gunia hutoa kg 75.
MAJI.
Maji ni sawa na bure unalipia pesa kidogo kwa ajili ya kukarabati scheme.
MUDA.
Muda mzuri wa kupanda ni mwezi wa 12. Japo kilimo cha umwagiliaji hakina majira . kwa mwaka hulimwa mara mbili na kitaru ni siku 14.
SOKO.
Kilo 1 kwa bei ya jumla ni 1800/= kwa shambani kwa Dar ni 2000/= soko la uhakika na kama soko halikulizishi weka usubili soko zuri.
Tupo Bagamoyo njia ya kiwangwa shuka kituo cha Mtoni.
Chukua mkataba sasa kwa maandalizi ya mwezi wa12.
Kilimo biashara.
0715926398

Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni