Jumatatu, 18 Desemba 2017
KILIMO CHA VIAZI VYA CHIPS.
SHAMBA LIPO SAWA NA BULE,
WATAARAMU WAPO,
WATAKUSIMAMIA KUANZIA SHAMBANI HADI SOKONI.
SHAMBA link kazi yetu ni kukuunganisha na fursa , sasa basi tunayo fursa kutoka Lushoto Tanga ambako ni eneo pekee lenye hali ya hewa nzuri Kwa kilimo cha mbogamboga na ukawa na matokeo chanya tofauti na maeneo mengine hii ni Kwa sababu hali ya hewa ni nzuri wengi hupenda kuiita Genova ya Afrika .
Lushoto kuna mdau wetu yuko tayari Kwa mazumzo na MTU yeyote aliyeko tayali kuzalisha Kwa tija.yeye ana shamba LA heka 2 Tambalale kwenye (vidau)yaani eneo lenye umajiumaji.Anachohitaji kutoka kwako ni vitu vifuatavyo
Eneo jirani kuna chemchem ya asili ambayo haikauki milele hivyo ili kuzalisha Kwa tija linahitajika tenki 2 ,moja litachimbiwa chini kalibu na chemchem ili kukusanya maji kutoka kwenye chemchem na tenki la 2 litawekwa juu shambani Kwa ajili ya kupokea maji kutoka tanki namba moja na litatumika kuyasambaza shambani Kwa drip au mfumo utakaofaa .
Tenk hizo zinaweza kuwa na sifa zifuatazo liwe na ujazo wa Lita 10,000 .
Kitu kingine ni pump ya diesel engine ya inch 2 itakayotumika kuhamisha maji kutoka tank no 1 kwenda no 2 .
Kitu cha tatu ni pipe itakayotumika kusafirisha maji ya nchi mbili pia
Gharama.
Tank 1............ 1800,000/=
Mashine pump.......600,000/=diesel engine na 300,000 petrol engin
Pipe mita 150..........500,000/=
JUMLA 4700,000/=
Mazao utakayolima ni kama nyanya,viazi chips vitunguu ,karoti,kabichi. N.k.
Kwa heka moja Kwa zao LA viazi ni sawa gunia 150 na gunia moja ni laki na ishirini Kwa dar.
Mdau yupo tayari Kwa mazungumzo na mikataba ya kisheria .
Aidha SHAMBA link wako tayali Kwa kusimamia kitaaramu au kutoa ushauri Kwa mwekezaji atakayejitokeza kuanzia ubora wa SHAMBA ,uzarishaji na masoko.
Kwa maelezo zaidi
0718593224.

Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)